Mungu wetu mlinda uyu mja wako mponye nahamini una weza kumponya Nayeye afrai mbele zako mungu wetu ndokuna Aki nakuomba mungu wetu 🧘♂️🙏🙏🙏 nakuomba mungu mponye uyu mja wako najua wewe ni kwenye upendo kama kuna mkono wa mt basi ya merudie yeye Aliye fanya ivyo nakuomba mungu mungu wetu mponye uyu mototo Nayeye afrai ii dunia yako nzuli msaidie mondolee aya Mateso mrudishie tabasam yake Mbaliki nahamini mungu utatenda jambo Zuri kwa uyu mtoto asante mungu wetu kafanye machozi ya uyu mama na mwanae yakawe Frah asante mungu nahamini asana upendo wako na uwezo wako ushidwi kitu tenda upendo wako na uruma yako mahna wewe ni upendo na ushindi mpe frah mtoto uyu anae nakuomba mungu wa kweli ni wewe akuna wa kumweleza shida zake ila ni wewe 2 ndo baba ndo nguzo mpe uzima na amani yako asante mungu 🙏🙏🙏🙏
Huyo mtt ataka kupelekwa hosp ya muhimbili afanyiwe vipimo vikubwa Mungu amstir amjalie apate dawa Nina shaka kubwa atakutwa na rheumatology lakini atapata dawa na atakuwa ok
Kaka zahiri labda huo niugwanjwa unaitwa uwatu ajaribu kuchukuwa maganda ya karanga unguze Hadi ya UNGA achanganye na mawesi awe anampaka huku anaenda na hospitali
@shamzone388 hpaan ami yng hana sukar na kapata sio kulala tu maradhi yanakuja tu hyo ni bacteria mm ami yng mmenunua dawa Oman nikampelekea dawa zote zimemaliza lkn hzo mashaaallah
Mungu wetu mlinda uyu mja wako mponye nahamini una weza kumponya Nayeye afrai mbele zako mungu wetu ndokuna Aki nakuomba mungu wetu 🧘♂️🙏🙏🙏 nakuomba mungu mponye uyu mja wako najua wewe ni kwenye upendo kama kuna mkono wa mt basi ya merudie yeye Aliye fanya ivyo nakuomba mungu mungu wetu mponye uyu mototo Nayeye afrai ii dunia yako nzuli msaidie mondolee aya Mateso mrudishie tabasam yake Mbaliki nahamini mungu utatenda jambo Zuri kwa uyu mtoto asante mungu wetu kafanye machozi ya uyu mama na mwanae yakawe Frah asante mungu nahamini asana upendo wako na uwezo wako ushidwi kitu tenda upendo wako na uruma yako mahna wewe ni upendo na ushindi mpe frah mtoto uyu anae nakuomba mungu wa kweli ni wewe akuna wa kumweleza shida zake ila ni wewe 2 ndo baba ndo nguzo mpe uzima na amani yako asante mungu 🙏🙏🙏🙏
Pole sana mdogowangu mungu akupe shifaa Inshaallah 🤲
Pole sana mtoto mzur apelekwe muhimbili akapimwe vipimo vikubwa atajulikana shida nini mungu akuponye haraka🤲
Pole Sana mama mtoto Mungu ampe shifaa 😢😢😢 mfungie kwenye neti kuepuka nzi
kakà Asante sana kaka
Duu pore sana mungu akuppnye 😢😢
Jaman pole sana Mungu akuponye
Jamani mwanangu pole mtoto mzuri mungu atakupa uponyaji
Duh pole sana
maskin majaribu haya😢😢😢😢😢
Kaka zahry mshaur mamaake amfungie neti jmn nzi wanamsumbua akikaa akae ndani yaneti😭😭😭😭da mungu uyu
😭😭😭😭😭🙆🙆🙆
Huyo mtt ataka kupelekwa hosp ya muhimbili afanyiwe vipimo vikubwa
Mungu amstir amjalie apate dawa
Nina shaka kubwa atakutwa na rheumatology lakini atapata dawa na atakuwa ok
Kaka zahili mwambie mamaake amuwekege kwenye neti kwaajiri ya hao inzi wanao msumbuwa
Dah mwili wote unasisimka jmn yaraby
Hana sukari kweli?
Kaka zahiri labda huo niugwanjwa unaitwa uwatu ajaribu kuchukuwa maganda ya karanga unguze Hadi ya UNGA achanganye na mawesi awe anampaka huku anaenda na hospitali
Tumbo limenikta fagra arafu umli wa mwanangu
Hyo maradhi dawa yke mti wa mrihan anaukosha vzr anautwanga anamtia vinakauka vyote biidhnillah. Alafu mm jamaa yng aliugua hvo yanatoka mpk wadudu nitakutumia dawa nyengine yakuponesha yanaitwa bedso
Bedsore ni vidinda mtu anavyopata akiwa mgonjwa analala muda mrefu bila kujigeuza au mtu mwenye sukar